Dkt.Yonazi aongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR)

DODOMA-Leo Julai 16,2024 jijini Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt.Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR) tarehe 16 Julai, 2024, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Shirika la Reli nchini (TRC), Bw. Masanja Kadogosa akizungumza wakati wa kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR) kilichofanyika Tarehe 16 Julai 2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt.Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Uratibu wa Masuala ya Uendeshaji wa Reli ya Kisasa (SGR) tarehe 16 Julai, 2024, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news