Dkt.Yonazi aongoza kikao Kamati ya Uongozi Mradi wa JNHPP

DODOMA-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi leo Julai 17,2024 jijini Dodoma ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kilichohusu Usimamizi wa Mazingira katika Bonde la Rufiji na vyanzo vya Maji kikao hicho kimefanyika tarehe 17 Julai 2024 jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kilichohusu Usimamizi wa Mazingira katika Bonde la Rufiji na vyanzo vya Maji, kilichofanyika tarehe 17 Julai 2024 Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi akiongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) kilichohusu Usimamizi wa Mazingira katika Bonde la Rufiji na vyanzo vya Maji kikao hicho kimefanyika tarehe 17 Julai 2024 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news