Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 11,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3365.58 na kuuzwa kwa shilingi 3400.30 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 11, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1928.91 na kuuzwa kwa shilingi 1947.63 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2927.20 na kuuzwa kwa shilingi 2955.16.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.27 na kuuzwa kwa shilingi 251.73 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.62 na kuuzwa kwa shilingi 147.05.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 715.62 na kuuzwa kwa shilingi 722.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.66 na kuuzwa kwa shilingi 170.15.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2844.65 na kuuzwa kwa shilingi 2874.16.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1772.29 na kuuzwa kwa shilingi 1790.54 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3470.98 na kuuzwa kwa shilingi 3505.69.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.45 na kuuzwa kwa shilingi 20.49 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2628.34 na kuuzwa kwa shilingi 2654.62 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8590.18 na kuuzwa kwa shilingi 8673.24.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 11th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED715.622722.7192719.170611-Jul-24
2ATS168.6604170.1549169.407611-Jul-24
3AUD1772.28741790.54121781.414311-Jul-24
4BEF57.531758.04157.786311-Jul-24
5BIF0.90880.91730.913111-Jul-24
6BWP194.2341196.7073195.470711-Jul-24
7CAD1928.91281947.63021938.271511-Jul-24
8CHF2927.20422955.15972941.18211-Jul-24
9CNY361.2337364.836363.034911-Jul-24
10CUC109.514110.6092110.061611-Jul-24
11DEM1053.14611197.12291125.134511-Jul-24
12DKK381.3992385.1965383.297911-Jul-24
13DZD19.582619.691919.637311-Jul-24
14ESP13.948614.071714.010111-Jul-24
15EUR2844.64872874.15712859.402911-Jul-24
16FIM390.3316393.7904392.06111-Jul-24
17FRF353.8084356.9381355.373311-Jul-24
18GBP3365.58513400.30283382.943911-Jul-24
19HKD336.5046339.8479338.176311-Jul-24
20INR31.485431.779331.632311-Jul-24
21IQD2.00792.02492.016411-Jul-24
22IRR0.06260.06320.062911-Jul-24
23ITL1.19861.20921.203911-Jul-24
24JPY16.281616.441316.361511-Jul-24
25KES20.45420.49920.476511-Jul-24
26KRW1.89961.91821.908911-Jul-24
27KWD8590.17768673.24478631.711111-Jul-24
28MWK1.40831.51611.462211-Jul-24
29MYR559.4586564.4525561.955611-Jul-24
30MZM40.81941.163340.991211-Jul-24
31NAD145.5876147.0256146.306611-Jul-24
32NGN1.73491.68551.710211-Jul-24
33NLG1053.14611062.48551057.815811-Jul-24
34NOK245.1624247.5632246.362811-Jul-24
35NZD1597.24021614.0091605.624611-Jul-24
36PKR8.96569.52849.24711-Jul-24
37QAR720.9416727.7916724.366611-Jul-24
38RWF1.99232.04562.018911-Jul-24
39SAR700.7776707.7477704.262711-Jul-24
40SDR3470.97933505.68913488.334211-Jul-24
41SEK249.2732251.7325250.502911-Jul-24
42SGD1948.21481967.55111957.88311-Jul-24
43TRY79.956780.714580.335611-Jul-24
44UGX0.68190.71550.698711-Jul-24
45USD2628.33662654.622641.478311-Jul-24
46GOLD6256623.93966319827.28786288225.613711-Jul-24
47ZAR145.6166147.05146.333311-Jul-24
48ZMK100.5715104.5126102.54211-Jul-24
49ZWD0.49180.50180.496811-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news