Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 16,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.34 na kuuzwa kwa shilingi 20.38 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.40 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 16, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2618.79 na kuuzwa kwa shilingi 2644.98 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8570.19 na kuuzwa kwa shilingi 8653.06.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3398.67 na kuuzwa kwa shilingi 3432.92 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1919.51 na kuuzwa kwa shilingi 1934.14 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2929.29 na kuuzwa kwa shilingi 2957.27.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 247.32 na kuuzwa kwa shilingi 249.74 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.48 na kuuzwa kwa shilingi 144.88.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 713.00 na kuuzwa kwa shilingi 720.09 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.05 na kuuzwa kwa shilingi 169.54.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2856.32 na kuuzwa kwa shilingi 2885.94.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1774.23 na kuuzwa kwa shilingi 1792.50 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3462.31 na kuuzwa kwa shilingi 3496.63.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 16th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED713.0039720.0947716.549316-Jul-24
2ATS168.048169.537168.792516-Jul-24
3AUD1774.23161792.50291783.367316-Jul-24
4BEF57.322857.830257.576516-Jul-24
5BIF0.90550.91370.909616-Jul-24
6BWP192.7431195.993194.368116-Jul-24
7CAD1919.51341938.14031928.826816-Jul-24
8CHF2929.29762957.26742943.282516-Jul-24
9CNY360.6158364.2069362.411416-Jul-24
10CUC109.1163110.2075109.661916-Jul-24
11DEM1049.32171192.77561121.048716-Jul-24
12DKK382.9035386.676384.789816-Jul-24
13DZD19.595919.613119.604516-Jul-24
14ESP13.89814.020613.959316-Jul-24
15EUR2856.31652885.93772871.127116-Jul-24
16FIM388.9141392.3604390.637316-Jul-24
17FRF352.5236355.6419354.082816-Jul-24
18GBP3398.66843432.91953415.79416-Jul-24
19HKD335.5017338.8524337.17716-Jul-24
20INR31.334531.641431.48816-Jul-24
21IQD2.00062.01752.009116-Jul-24
22IRR0.06240.0630.062716-Jul-24
23ITL1.19431.20481.199516-Jul-24
24JPY16.580916.745716.663316-Jul-24
25KES20.340120.385220.362716-Jul-24
26KRW1.8941.91231.903116-Jul-24
27KWD8570.18718653.05728611.622216-Jul-24
28MWK1.40321.51061.456916-Jul-24
29MYR560.7692566.0133563.391216-Jul-24
30MZM40.670841.013840.842316-Jul-24
31NAD143.5348144.851144.192916-Jul-24
32NGN1.67871.61281.645816-Jul-24
33NLG1049.32171058.62721053.974416-Jul-24
34NOK242.9419245.3144244.128216-Jul-24
35NZD1593.5351610.52831602.031716-Jul-24
36PKR8.94919.50759.228316-Jul-24
37QAR718.3235725.1487721.736116-Jul-24
38RWF1.98572.03432.0116-Jul-24
39SAR698.2328705.1776701.705216-Jul-24
40SDR3462.30763496.93073479.619216-Jul-24
41SEK247.3195249.7455248.532516-Jul-24
42SGD1950.82841969.60311960.215816-Jul-24
43TRY79.299280.012979.656116-Jul-24
44UGX0.68040.71390.697116-Jul-24
45USD2618.79212644.982631.88616-Jul-24
46GOLD6324356.68346388684.6926356520.687716-Jul-24
47ZAR143.4844144.882144.183216-Jul-24
48ZMK99.2277103.1181101.172916-Jul-24
49ZWD0.49010.50.49516-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news