Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 18,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2872.89 na kuuzwa kwa shilingi 2902.79.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 18, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1769.69 na kuuzwa kwa shilingi 1787.92 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3482.67 na kuuzwa kwa shilingi 3417.49.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.20 na kuuzwa kwa shilingi 20.25 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2626.05 na kuuzwa kwa shilingi 2652.31 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8599.28 na kuuzwa kwa shilingi 8679.59.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3422.00 na kuuzwa kwa shilingi 3457.29 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1920.61 na kuuzwa kwa shilingi 1939.25 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2964.94 na kuuzwa kwa shilingi 2993.24.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 249.21 na kuuzwa kwa shilingi 251.66 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.41 na kuuzwa kwa shilingi 145.82.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 714.98 na kuuzwa kwa shilingi 722.09 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.51 na kuuzwa kwa shilingi 170.01.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 18th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED714.9799722.0903718.535118-Jul-24
2ATS168.5136170.0068169.260218-Jul-24
3AUD1769.69481787.92221778.808518-Jul-24
4BEF57.481757.990557.736118-Jul-24
5BIF0.90790.91630.912118-Jul-24
6CAD1920.60961939.24841929.92918-Jul-24
7CHF2964.94242993.242979.091218-Jul-24
8CNY361.7596365.337363.548318-Jul-24
9DEM1052.22961196.08121124.155418-Jul-24
10DKK385.2151389.0387387.126918-Jul-24
11ESP13.936514.059413.997918-Jul-24
12EUR2872.89812902.68812887.793118-Jul-24
13FIM389.9919393.4477391.719818-Jul-24
14FRF353.5005356.6275355.06418-Jul-24
15GBP3422.00513457.28613439.645618-Jul-24
16HKD336.3453339.6957338.020518-Jul-24
17INR31.438431.731831.585118-Jul-24
18ITL1.19761.20821.202918-Jul-24
19JPY16.774516.93916.856818-Jul-24
20KES20.200420.246620.223518-Jul-24
21KRW1.90461.92321.913918-Jul-24
22KWD8599.28458679.59298639.438718-Jul-24
23MWK1.40711.51471.460918-Jul-24
24MYR563.5299568.3115565.920718-Jul-24
25MZM40.783541.127540.955518-Jul-24
26NLG1052.22961061.56091056.895318-Jul-24
27NOK244.2564246.6348245.445618-Jul-24
28NZD1597.16331614.19591605.679618-Jul-24
29PKR8.96599.50999.237918-Jul-24
30RWF1.99252.04012.016318-Jul-24
31SAR700.1492707.113703.631118-Jul-24
32SDR3482.66733517.49393500.080618-Jul-24
33SEK249.2076251.659250.433318-Jul-24
34SGD1959.59221978.00741968.799818-Jul-24
35UGX0.68230.71590.699118-Jul-24
36USD2626.04962652.312639.179818-Jul-24
37GOLD6495346.21326561813.08346528579.648318-Jul-24
38ZAR144.4098145.8242145.11718-Jul-24
39ZMW97.7838101.621199.702418-Jul-24
40ZWD0.49140.50140.496418-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news