Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 19,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 714.36 na kuuzwa kwa shilingi 721.46 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.37 na kuuzwa kwa shilingi 169.86.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 19, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2868.56 na kuuzwa kwa shilingi 2998.30.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1767.63 na kuuzwa kwa shilingi 1785.83 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3487.32 na kuuzwa kwa shilingi 3422.19.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.18 na kuuzwa kwa shilingi 20.21 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.40 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2623.76 na kuuzwa kwa shilingi 2650 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8590.67 na kuuzwa kwa shilingi 8673.74.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3406.69 na kuuzwa kwa shilingi 3441.82 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1918.25 na kuuzwa kwa shilingi 1936.85 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2968.73 na kuuzwa kwa shilingi 2997.06.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 248.95 na kuuzwa kwa shilingi 251.36 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.20 na kuuzwa kwa shilingi 145.59.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 19th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED714.3572721.4614717.909319-Jul-24
2ATS168.3669169.8587169.112819-Jul-24
3AUD1767.62871785.8351776.731919-Jul-24
4BEF57.431657.9457.685819-Jul-24
5BIF0.9070.91540.911219-Jul-24
6BWP193.896196.365195.130519-Jul-24
7CAD1918.23541936.85131927.543419-Jul-24
8CHF2968.72862997.05952982.894119-Jul-24
9CNY361.5292365.0892363.309219-Jul-24
10CUC109.3234110.4167109.8719-Jul-24
11DEM1051.31321195.03951123.176319-Jul-24
12DKK384.5918388.3808386.486319-Jul-24
13DZD19.610619.62719.618819-Jul-24
14ESP13.924314.047213.985819-Jul-24
15EUR2868.55942898.3052883.432219-Jul-24
16FIM389.6522393.1051391.378719-Jul-24
17FRF353.1927356.3169354.754819-Jul-24
18GBP3406.69313441.823424.256519-Jul-24
19HKD336.0007339.3564337.678519-Jul-24
20INR31.38431.67731.530519-Jul-24
21IQD2.00442.02142.012919-Jul-24
22IRR0.06250.06310.062819-Jul-24
23ITL1.19651.20711.201819-Jul-24
24JPY16.789916.956716.873319-Jul-24
25KES20.182820.22920.205919-Jul-24
26KRW1.89861.91641.907519-Jul-24
27KWD8590.66988673.73668632.203219-Jul-24
28MWK1.40581.51341.459619-Jul-24
29MYR562.4357567.4518564.943719-Jul-24
30MZM40.74841.091640.919819-Jul-24
31NAD144.3571145.6973145.027219-Jul-24
32NGN1.66061.59641.628519-Jul-24
33NLG1051.31321060.63641055.974819-Jul-24
34NOK244.0482246.4199245.234119-Jul-24
35NZD1592.88611609.8751601.380619-Jul-24
36PKR8.96139.52389.242519-Jul-24
37QAR719.6869726.525723.105919-Jul-24
38RWF1.98912.0372.013119-Jul-24
39SAR699.5394706.4971703.018219-Jul-24
40SDR3487.32063522.19383504.757219-Jul-24
41SEK248.948251.3659250.156919-Jul-24
42SGD1957.59341976.4321967.012719-Jul-24
43TRY79.323680.092679.708119-Jul-24
44UGX0.68350.71720.700419-Jul-24
45USD2623.762426502636.881219-Jul-24
46GOLD6472979.207965384516505715.10419-Jul-24
47ZAR144.2032145.594144.898619-Jul-24
48ZMK96.221210098.110619-Jul-24
49ZWD0.4910.50090.495919-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news