Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 23,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.28 na kuuzwa kwa shilingi 247.69 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.92 na kuuzwa kwa shilingi 145.24.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 23, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 715.01 na kuuzwa kwa shilingi 722.12 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.52 na kuuzwa kwa shilingi 170.61.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2856.74 na kuuzwa kwa shilingi 2985.58.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1745.61 na kuuzwa kwa shilingi 1763.60 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3490.43 na kuuzwa kwa shilingi 3425.34.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.05 na kuuzwa kwa shilingi 20.09 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2626.17 na kuuzwa kwa shilingi 2652.43 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8592.36 na kuuzwa kwa shilingi 8675.16.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3391.96 na kuuzwa kwa shilingi 3426.94 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.02.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1910.22 na kuuzwa kwa shilingi 1928.62 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2955.39 na kuuzwa kwa shilingi 2983.61.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 23rd,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED715.0122722.123718.567623-Jul-24
2ATS168.5213170.0145169.267923-Jul-24
3AUD1745.61411763.60071754.607423-Jul-24
4BEF57.484357.993157.738723-Jul-24
5BIF0.9080.91640.912223-Jul-24
6CAD1910.21841928.61921919.418823-Jul-24
7CHF2955.39982983.61082969.505323-Jul-24
8CNY361.0846364.6804362.882523-Jul-24
9DEM1052.27731196.13531124.206323-Jul-24
10DKK382.8792386.6854384.782323-Jul-24
11ESP13.937114.060113.998623-Jul-24
12EUR2856.74582885.57862871.162223-Jul-24
13FIM390.0096393.4656391.737623-Jul-24
14FRF353.5166356.6436355.080123-Jul-24
15GBP3391.9593426.93963409.449323-Jul-24
16HKD336.3691339.7197338.044423-Jul-24
17INR31.39531.702631.548823-Jul-24
18ITL1.19761.20821.202923-Jul-24
19JPY16.747516.912816.830123-Jul-24
20KES20.047120.094220.070623-Jul-24
21KRW1.89171.91011.900923-Jul-24
22KWD8592.35818675.15958633.758823-Jul-24
23MWK1.40721.51481.46123-Jul-24
24MYR561.387566.3954563.891223-Jul-24
25MZM40.785341.129340.957323-Jul-24
26NLG1052.27721061.6091056.943123-Jul-24
27NOK239.4173241.7497240.583523-Jul-24
28NZD1571.49911588.27511579.887123-Jul-24
29PKR8.96789.52749.247623-Jul-24
30RWF1.96272.01711.989923-Jul-24
31SAR700.1621707.1261703.644123-Jul-24
32SDR3490.43493525.33933507.887123-Jul-24
33SEK245.2827247.6985246.490623-Jul-24
34SGD1952.10611970.89471961.500423-Jul-24
35UGX0.68320.71690.700123-Jul-24
36USD2626.16842652.432639.299223-Jul-24
37GOLD6290434.70766354161.3086322298.007823-Jul-24
38ZAR143.9241145.2439144.58423-Jul-24
39ZMW97.9763101.820799.898523-Jul-24
40ZWD0.49140.50140.496423-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news