Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 26,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2641.09 na kuuzwa kwa shilingi 2667.5 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8637.22 na kuuzwa kwa shilingi 8720.74.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 26, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3400.14 na kuuzwa kwa shilingi 3435.21 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.00 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1912.17 na kuuzwa kwa shilingi 1930.59 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2998.51 na kuuzwa kwa shilingi 3028.15.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 244.5 na kuuzwa kwa shilingi 246.89 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.62 na kuuzwa kwa shilingi 144.99.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 719.17 na kuuzwa kwa shilingi 726.17 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 169.48 na kuuzwa kwa shilingi 170.98.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2862.94 na kuuzwa kwa shilingi 2892.14.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1726.74 na kuuzwa kwa shilingi 1745.34 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3509.22 na kuuzwa kwa shilingi 3544.31.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.93 na kuuzwa kwa shilingi 19.98 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.41 na kuuzwa kwa shilingi 1.52.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.91 na kuuzwa kwa shilingi 0.92.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 26th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED719.1725726.1665722.669526-Jul-24
2ATS169.4788170.9804170.229626-Jul-24
3AUD1726.74411745.34531736.044726-Jul-24
4BEF57.810958.322658.066726-Jul-24
5BIF0.91250.9210.916726-Jul-24
6BWP193.8559198.1953196.025626-Jul-24
7CAD1912.16991930.59271921.381326-Jul-24
8CHF2998.51173028.1533013.332426-Jul-24
9CNY365.1393368.6888366.91426-Jul-24
10CUC110.0454111.1458110.595626-Jul-24
11DEM1058.25581202.93121130.593526-Jul-24
12DKK383.6896387.5096385.599626-Jul-24
13DZD19.673419.788619.73126-Jul-24
14ESP14.016314.139914.078126-Jul-24
15EUR2862.94062892.10352877.52226-Jul-24
16FIM392.2254395.7011393.963226-Jul-24
17FRF355.5251358.6699357.097526-Jul-24
18GBP3400.13813435.20653417.672326-Jul-24
19HKD338.3799341.7593340.069626-Jul-24
20INR31.534331.828731.681526-Jul-24
21IQD2.01762.03472.026226-Jul-24
22IRR0.06290.06350.063226-Jul-24
23ITL1.20441.21511.209826-Jul-24
24JPY17.176717.342817.259826-Jul-24
25KES19.932719.981319.95726-Jul-24
26KRW1.90961.92761.918626-Jul-24
27KWD8637.21998720.74028678.9826-Jul-24
28MWK1.41511.5241.469626-Jul-24
29MYR566.7573571.6888569.223126-Jul-24
30MZM40.99841.343841.170926-Jul-24
31NAD143.5624144.9689144.265726-Jul-24
32NGN1.67161.60691.639326-Jul-24
33NLG1058.25581067.64061062.948226-Jul-24
34NOK239.0883241.4071240.247726-Jul-24
35NZD1557.97851574.8921566.435226-Jul-24
36PKR9.01569.57819.296826-Jul-24
37QAR724.4395731.3228727.881226-Jul-24
38RWF2.00162.0482.024826-Jul-24
39SAR704.0276711.03707.528826-Jul-24
40SDR3509.21673544.30893526.762826-Jul-24
41SEK244.5246.8993245.699726-Jul-24
42SGD1966.85221985.78131976.316726-Jul-24
43TRY79.993580.772480.382926-Jul-24
44UGX0.67880.71230.695626-Jul-24
45USD2641.08912667.52654.294626-Jul-24
46GOLD6248486.69556312305.31256280396.00426-Jul-24
47ZAR143.6178144.9902144.30426-Jul-24
48ZMK98.2744102.1311100.202726-Jul-24
49ZWD0.49420.50420.499226-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news