Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 29,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 29, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2656.43 na kuuzwa kwa shilingi 2683 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8688.26 na kuuzwa kwa shilingi 8769.98.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3416.71 na kuuzwa kwa shilingi 3453.02 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1921.71 na kuuzwa kwa shilingi 1940.41 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2998.51 na kuuzwa kwa shilingi 3038.16.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.85 na kuuzwa kwa shilingi 248.27 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.56 na kuuzwa kwa shilingi 146.68.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 723.27 na kuuzwa kwa shilingi 730.44 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 170.46 na kuuzwa kwa shilingi 171.94.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2884.62 na kuuzwa kwa shilingi 2813.74.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1742.09 na kuuzwa kwa shilingi 1760.58 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3529.61 na kuuzwa kwa shilingi 3564.90.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.28 na kuuzwa kwa shilingi 20.32 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.42 na kuuzwa kwa shilingi 1.53.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 29th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED723.2726730.4457726.859129-Jul-24
2ATS170.4635171.974171.218729-Jul-24
3AUD1742.09051760.58461751.337529-Jul-24
4BEF58.146858.661558.404129-Jul-24
5BIF0.91780.92630.92229-Jul-24
6BWP195.7793198.2737197.026529-Jul-24
7CAD1921.75041940.40651931.078429-Jul-24
8CHF3008.42093038.1613023.29129-Jul-24
9CNY366.4201369.9822368.201129-Jul-24
10CUC110.6848111.7917111.238229-Jul-24
11DEM1064.4051209.92111137.163129-Jul-24
12DKK386.5424390.3851388.463829-Jul-24
13DZD19.777819.888219.83329-Jul-24
14ESP14.097714.222114.159929-Jul-24
15EUR2884.62352913.7382899.180729-Jul-24
16FIM394.5045398.0004396.252429-Jul-24
17FRF357.5909360.754359.172529-Jul-24
18GBP3416.70753453.0213434.864329-Jul-24
19HKD340.2807343.6747341.977729-Jul-24
20INR31.73832.034331.886129-Jul-24
21IQD2.02942.04652.037929-Jul-24
22IRR0.06320.06390.063629-Jul-24
23ITL1.21141.22211.216829-Jul-24
24JPY17.213817.384817.299329-Jul-24
25KES20.278120.325820.301929-Jul-24
26KRW1.91791.93611.92729-Jul-24
27KWD8688.26058769.98018729.120329-Jul-24
28MWK1.42341.53291.478129-Jul-24
29MYR570.6629575.7511573.20729-Jul-24
30MZM41.236241.58441.410129-Jul-24
31NAD145.5477146.9758146.261829-Jul-24
32NGN1.68131.61631.648829-Jul-24
33NLG1064.4051073.84431069.124729-Jul-24
34NOK241.7645244.1288242.946629-Jul-24
35NZD1565.17191581.89681573.534329-Jul-24
36PKR9.06969.63729.353429-Jul-24
37QAR728.649735.5723732.110729-Jul-24
38RWF2.0132.05962.036329-Jul-24
39SAR708.0996715.1425711.62129-Jul-24
40SDR3529.60763564.90373547.255729-Jul-24
41SEK245.8479248.2742247.06129-Jul-24
42SGD1977.83911997.17141987.505229-Jul-24
43TRY80.622981.407981.015429-Jul-24
44UGX0.68460.71830.701529-Jul-24
45USD2656.435626832669.717829-Jul-24
46GOLD6315144.45546379154.466347149.457729-Jul-24
47ZAR145.5565146.9815146.26929-Jul-24
48ZMK98.7258102.6004100.663129-Jul-24
49ZWD0.49710.50710.502129-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news