Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.45 na kuuzwa kwa shilingi 20.49 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.42 na kuuzwa kwa shilingi 1.53.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2658.04 na kuuzwa kwa shilingi 2684.62 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8693.22 na kuuzwa kwa shilingi 8777.28.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3411.33 na kuuzwa kwa shilingi 3447.05 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.06.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1920.41 na kuuzwa kwa shilingi 1939.47 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3003.43 na kuuzwa kwa shilingi 3033.13.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 245.07 na kuuzwa kwa shilingi 247.49 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 144.03 na kuuzwa kwa shilingi 145.39.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 723.69 na kuuzwa kwa shilingi 730.89 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 170.56 na kuuzwa kwa shilingi 172.08.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2874.67 na kuuzwa kwa shilingi 2903.95.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1737.83 na kuuzwa kwa shilingi 1756.28 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3525.78 na kuuzwa kwa shilingi 3561.04.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 30th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED723.6897730.8867727.288230-Jul-24
2ATS170.5664172.0778171.322130-Jul-24
3AUD1737.82631756.27841747.052430-Jul-24
4BEF58.181958.696958.439430-Jul-24
5BIF0.91870.92710.922930-Jul-24
6CAD1920.41011939.47411929.942130-Jul-24
7CHF3003.43463033.12623018.280430-Jul-24
8CNY366.1817369.7977367.989730-Jul-24
9DEM1065.04771210.65161137.849730-Jul-24
10DKK385.3013389.0979387.199630-Jul-24
11ESP14.106214.230714.168530-Jul-24
12EUR2874.66982903.95342889.311630-Jul-24
13FIM394.7427398.2407396.491730-Jul-24
14FRF357.8069360.9719359.389430-Jul-24
15GBP3411.32813447.05213429.190130-Jul-24
16HKD340.3205343.7193342.019930-Jul-24
17INR31.757832.054431.906130-Jul-24
18ITL1.21221.22291.217530-Jul-24
19JPY17.273517.442817.358130-Jul-24
20KES20.446520.493320.469930-Jul-24
21KRW1.92121.941.930630-Jul-24
22KWD8693.22218777.28378735.252930-Jul-24
23MWK1.42421.53321.478730-Jul-24
24MYR573.224578.4572575.840630-Jul-24
25MZM41.248341.596341.422330-Jul-24
26NLG1065.04771074.49271069.770230-Jul-24
27NOK241.2846243.6444242.464530-Jul-24
28NZD1560.00341576.94581568.474630-Jul-24
29PKR9.07019.63619.353130-Jul-24
30RWF1.99012.05352.021830-Jul-24
31SAR708.546715.5934712.069730-Jul-24
32SDR3525.78463561.04243543.413530-Jul-24
33SEK245.0687247.4874246.278130-Jul-24
34SGD1978.00241996.59381987.298130-Jul-24
35UGX0.68590.71970.702830-Jul-24
36USD2658.03962684.622671.329830-Jul-24
37GOLD6358668.66226423087.5816390878.121630-Jul-24
38ZAR144.0281145.3897144.708930-Jul-24
39ZMW98.5965102.4664100.531530-Jul-24
40ZWD0.49740.5074

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news