Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 8,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 713.59 na kuuzwa kwa shilingi 720.69 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.19 na kuuzwa kwa shilingi 169.68.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 8, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2838.25 na kuuzwa kwa shilingi 2867.69.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1765.48 na kuuzwa kwa shilingi 1783.67 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3450.67 na kuuzwa kwa shilingi 3485.19.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.52 na kuuzwa kwa shilingi 20.56 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.40 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2620.97 na kuuzwa kwa shilingi 2647.18 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8566.38 na kuuzwa kwa shilingi 8645.83.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3354.84 na kuuzwa kwa shilingi 3390.24 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1924.21 na kuuzwa kwa shilingi 1942.88 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2919.65 na kuuzwa kwa shilingi 2947.53.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 250.20 na kuuzwa kwa shilingi 252.66 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.86 na kuuzwa kwa shilingi 145.27.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 8th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED713.597720.6937717.145308-Jul-24
2ATS168.1877169.678168.932908-Jul-24
3AUD1765.48561783.66991774.577708-Jul-24
4BEF57.370557.878357.624408-Jul-24
5BIF0.90660.9150.910808-Jul-24
6BWP192.9034195.3619194.132608-Jul-24
7CAD1924.21281942.88441933.548608-Jul-24
8CHF2919.65052947.53372933.592108-Jul-24
9CNY360.6178364.1238362.370808-Jul-24
10CUC109.2071110.2992109.753108-Jul-24
11DEM1050.19451193.76781121.981108-Jul-24
12DKK380.5788384.3623382.470608-Jul-24
13DZD19.536819.645819.591308-Jul-24
14ESP13.909514.032213.970908-Jul-24
15EUR2838.24872867.69012852.969408-Jul-24
16FIM389.2376392.6868390.962208-Jul-24
17FRF352.8168355.9377354.377308-Jul-24
18GBP3354.8423390.24343372.542708-Jul-24
19HKD335.5615338.9041337.232808-Jul-24
20INR31.393231.700331.546708-Jul-24
21IQD2.00232.01922.010708-Jul-24
22IRR0.06240.0630.062708-Jul-24
23ITL1.19521.20581.200508-Jul-24
24JPY16.287416.449316.368308-Jul-24
25KES20.516420.560620.538508-Jul-24
26KRW1.90091.91661.908708-Jul-24
27KWD8566.38228645.82938606.105708-Jul-24
28MWK1.40461.51181.458208-Jul-24
29MYR556.8239561.9147559.369308-Jul-24
30MZM40.704641.047940.876308-Jul-24
31NAD143.8552145.2635144.559408-Jul-24
32NGN1.74151.69151.716508-Jul-24
33NLG1050.19451059.50771054.851108-Jul-24
34NOK248.3532250.7939249.573508-Jul-24
35NZD1606.13061623.25081614.690708-Jul-24
36PKR8.94059.50179.221108-Jul-24
37QAR718.9604725.7519722.356208-Jul-24
38RWF1.9772.03682.006908-Jul-24
39SAR698.7205705.67702.195208-Jul-24
40SDR3450.69283485.19983467.946308-Jul-24
41SEK250.2048252.6658251.435308-Jul-24
42SGD1942.17881960.87411951.526408-Jul-24
43TRY80.179280.960480.569808-Jul-24
44UGX0.68110.71470.697908-Jul-24
45USD2620.97032647.182634.075108-Jul-24
46GOLD6218579.6516282089.03756250334.344208-Jul-24
47ZAR143.8655145.2738144.569708-Jul-24
48ZMK103.769107.8281105.798608-Jul-24
49ZWD0.49050.50040.495408-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news