Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 9,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 250.31 na kuuzwa kwa shilingi 252.76 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 145.00 na kuuzwa kwa shilingi 146.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 9, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 714.62 na kuuzwa kwa shilingi 721.72 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 168.43 na kuuzwa kwa shilingi 169.92.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.49 na kuuzwa kwa shilingi 0.50 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2844.66 na kuuzwa kwa shilingi 2874.17.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1771.42 na kuuzwa kwa shilingi 1789.39 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3455.62 na kuuzwa kwa shilingi 3490.18.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.50 na kuuzwa kwa shilingi 20.55 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.40 na kuuzwa kwa shilingi 1.51.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.71 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.90 na kuuzwa kwa shilingi 0.91.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2624.71 na kuuzwa kwa shilingi 2650.96 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8579.74 na kuuzwa kwa shilingi 8662.70.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3369.34 na kuuzwa kwa shilingi 3404.33 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.98 na kuuzwa kwa shilingi 2.04.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1926.25 na kuuzwa kwa shilingi 1945.37 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2929.37 na kuuzwa kwa shilingi 2957.34.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 9th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED714.616721.7228718.169409-Jul-24
2ATS168.4279169.9203169.174109-Jul-24
3AUD1771.41871789.3981780.408409-Jul-24
4BEF57.452457.96157.706709-Jul-24
5BIF0.90760.9160.911809-Jul-24
6CAD1926.25341945.37321935.813309-Jul-24
7CHF2929.36712957.34052943.353809-Jul-24
8CNY361.0582364.6588362.858509-Jul-24
9DEM1051.69411195.47241123.583209-Jul-24
10DKK381.4934385.2804383.386909-Jul-24
11ESP13.929414.052313.990809-Jul-24
12EUR2844.66382874.17082859.417309-Jul-24
13FIM389.7934393.2474391.520409-Jul-24
14FRF353.3206356.446354.883309-Jul-24
15GBP3369.34393403.83273386.588309-Jul-24
16HKD336.0622339.4184337.740309-Jul-24
17INR31.445331.738931.592109-Jul-24
18ITL1.1971.20761.202309-Jul-24
19JPY16.324916.485116.40509-Jul-24
20KES20.505620.550120.527809-Jul-24
21KRW1.89911.91751.908309-Jul-24
22KWD8579.73618662.70178621.218909-Jul-24
23MWK1.40661.51481.460709-Jul-24
24MYR557.619562.717560.16809-Jul-24
25MZM40.762741.106540.934609-Jul-24
26NLG1051.69411061.02061056.357309-Jul-24
27NOK248.6984251.1378249.918109-Jul-24
28NZD1611.31131628.48471619.89809-Jul-24
29PKR8.95339.51539.234309-Jul-24
30RWF1.98022.042.010109-Jul-24
31SAR699.7369706.6965703.216709-Jul-24
32SDR3455.62023490.17643472.898309-Jul-24
33SEK250.3088252.7637251.536209-Jul-24
34SGD1945.96151965.27551955.618509-Jul-24
35UGX0.68010.71360.696809-Jul-24
36USD2624.71282650.962637.836409-Jul-24
37GOLD6225530.21226288872.4086257201.310109-Jul-24
38ZAR145.0037146.2115145.607609-Jul-24
39ZMW103.4948107.544105.519409-Jul-24
40ZWD0.49110.50110.496109-Jul-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news