Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Mheshimiwa Dkt.Doto Biteko akifurahia jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Tulia Ackson pembezoni mwa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) jijini Dar es Salaam kilichofanyika Juni 30, 2024.
Tags
Chama Cha Mapinduzi
Doto Biteko
Dr Emmanuel John Nchimbi
Dr.Tulia Ackson
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri