Haya madawati hayakidhi viwango, yarudishwe kwa fundi-Waziri Mkuu

IRINGA-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Divisheni ya Sekondari wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Daniele Mapillya, kuyaondoa madawati yote ambayo hayana eneo la kuweka daftari kwa ajili ya wanafunzi na kurudishwa kwa fundi kwa sababu hayakidhi viwango vya madawati ya shule za msingi na sekondari.
Ametoa maagizo hayo baada kufanya ukaguzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Iramba iliyopo katika kijiji cha Iramba, kata ya Itandula, wilayani Mufindi, mkoani Iringa, leo mchana Jumapili, Julai 07, 2024.Soma zaidi hapa》》》

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news