HAZINA TV:Mwaka mpya wa fedha una maana gani?

DODOMA-Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya kupitia mahojiano aliyofanya na Hazina TV hivi karibuni amebainisha kwa kina kuhusu maana ya Mwaka wa Fedha wa Serikali.
"Mwaka wa Fedha wa Serikali unaanza tarehe moja mwezi wa saba ya kila mwaka hadi tarehe 30 ya mwezi wa sita ya mwaka unaofuatia."

Amesema, katika mwaka wa fedha ambao ulifikia tamati karibuni Serikali ilirekodi mafanikio makubwa ikiwemo makusanyo na maboresho ya upelekaji wa fedha katika miradi ya maendeleo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news