HAZINA TV:Wizara hii ndiyo kitovu au kiungo cha Serikali

DAR-"Wizara hii ndiyo kitovu au kiungo cha Serikali upande wa kuziwezesha taasisi na wizara mbalimbali ziweze kutimiza majukumu yao, na tumeona kwamba wizara (Wizara ya Fedha) imepiga hatua kubwa sana kwenye kuhakikisha kwamba ile elimu kwa umma kwa upande wa usimamizi wa Bajeti ya Serikali na huduma mbalimbali zinazotolewa na idara zetu na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha hususani vyuo mbalimbali, benki.
"Lakini pia na taasisi za micro-finances zinatimiza ule ukamilifu wa Wizara ya Fedha,"amebainisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya katika mahojiano na Hazina TV akizungumzia kuhusu hali ya uchumi wa nchi na majukumu ya Wizara ya Fedha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news