Hongereni BoT-Waziri Ndumbaro

DAR-Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ametembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Dkt. Ndumbaro ameipongeza BoT kwa jitihada inazofanya katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kazi za Benki Kuu.

Elimu ikiendelea
Wataalamu kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakitoa elimu kuhusu kazi mbalimbali za BoT kwa wananchi wanaotembelea banda lao kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news