Viongozi wapya wa Menejimenti ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwenye baraza la chuo hicho ni Prof.Alex Makulilo ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Taaluma,Utafiti na Ushauri wa Kitaalamu, mwingine ni Prof.Josiah Katani ambaye ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Mipango, Fedha na Utawala na Prof.Leornad Fweja ambaye ni Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo, Teknolojia za Kujifunzia na Huduma za Mikoa.Endelea;