Jamii iepuke kusambaza taarifa za uongo,potofu mitandaoni-TEF
DAR-Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limewasihi wananchi kuacha tabia ya kutoa taarifa wasizokuwa na uhakika nazo kwani zinaweza kuzua taharuki katika jamii, na kwamba kufanya hivyo ni kosa la jinai kisheria.