Je, ninaweza kutumia simu kuanzisha mchakato wa kuboresha taarifa au kuhamisha taarifa? Ndiyo

”Kwa mujibu wa Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwaka 2022, tunatarajia kuandikisha wapiga kura wapya 5,586,433 ambao wametimiza umri wa miaka 18 na ambao watatimiza umri huo kabla au ifikapo siku ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.”, ameeleza na kufafanua kuwa.

“Sanjari na hao tunatarajia wapiga kura 4,369,531 wataboresha taarifa zao na wapiga kura 594,494 wataondolewa kwenye Daftari kutokana na kukosa sifa za kuendelea kuwemo kwenye Daftari kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kukana uraia au kupoteza sifa za kuendelea kuwemo kwenye Daftari,”Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Jacobs Mwambegele aliyabainisha hayo Julai 20,2024 mkoani Kigoma wakati wa uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.
Zingatia kuwa “Kujiandikisha Kuwa Mpiga Kura Ni Msingi Wa Uchaguzi Bora”

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news