WASHINGTON DC-Rais wa Marekani,Joe Bide ametangaza kujiondoa kwenye kinyang’anyiro cha ugombea Urais wa nchi hiyo.

Aidha,uamuzi wa Biden umekuja huku kukiwa na mpasuko ndani ya chama chake wengine wakiamini angeweza kugombea tena na wengine wakisema hatoweza.
Ni kutokana na uzee na kuzidiwa hoja wakati wa mdahalo wake na mpinzani wake Donald Trump ambaye hivi karibuni alinusurika kuuawa kwa risasi.