Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere kuanzia tarehe 28 Juni hadi 13 Julai 2024. Katika ziara yake amejionea namna wataalamu wa Benki Kuu wanatoa elimu kwa wananchi wanaotembelea banda letu kuhusu kazi za BoT.
Tags
Benki Kuu ya Tanzania
Habari
Maonesho ya 48 ya Biashara ya Sabasaba
Picha
Picha Chaguo la Mhariri