Lazima akamatwe,asema Kamanda Muliro

DAR-Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta msichana wa kazi anayejulikana kwa jina la Clemensia Cosmaskwa tuhuma za kumjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni mtoto Malick Hashim (6).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Julai 17, 2024 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Muliro Jumanne Muliro, tukio hilo limetokea Juali 15, 2024 majira ya saa 12 jioni eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni.

Ameeleza kwamba,mtoto huyo alipelekwa Hospitali ya Mloganzila ambapo baadae alihamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili anapoendelea kupatiwa matibabu mpaka sasa Mtuhumiwa huyo alikimbia baada ya kutenda kosa hilona anatafutwa na lazima akamatwe

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news