LIVE:Wimbo Maalum kutoka PPAA

DAR-Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ni taasisi iliyo chini ya Wizara ya Fedha iliyoundwa kwa mujibu wa Sheria ya Ununuzi ya Umma Na. 3 ya mwaka 2001.
Aidha, baada ya Sheria hii kufutwa, Mamlaka ya Rufani iliendelezwa chini ya Sheria ya Ununuzi ya Umma Na. 21 ya mwaka 2004 na kuhuishwa tena kupitia Sheria ya Ununuzi wa Umma Na. 7 ya mwaka 2011 baada ya ile Sheria Na. 21 ya mwaka 2004 nayo kufutwa. 

Mwaka 2023 Sheria ya Ununuzi wa Umma Na. 7 ya mwaka 2011 nayo ilifutwa na Mamlaka ya Rufani ilihuishwa tena kupitia Sheria ya Ununuzi wa Umma Na. 10 ya mwaka 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news