Mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa 2022 Lindi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 02, 2024 anafungua mafunzo ya Usambazaji na Matumizi ya Matokeo ya Sensa 2022 kwa Viongozi, Watendaji na Makundi mbalimbali kutoka Wilaya za Ruangwa, Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, hafla hiyo inafanyika katika Viwanja vya Madini, Ruangwa mkoani Lindi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news