Magazeti leo Agosti 1,2024

TANGA-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga imeanza uchunguzi wa miradi 79 yenye thamani ya shilingi bilioni 34.5 iliyobainika kuwa na mapungufu katika sekta mbalimbali sambamba na iliyokuwa na mapungufu wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024.
Afisa Uchunguzi Mwandamizi wa TAKUKURU mkoani humo,Frank Mapunda amesema hayo Julai 31,2024 wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news