Magazeti leo Julai 10,2024

DAR-Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amevitaka vyama vya siasa nchini kuepuka migogoro ambayo imekuwa ikijitokeza kwenye vyama hivyo, kwani inaweza kusababisha kuleta mifarakano katika taifa na jamii kwa ujumla.
Jaji Mutungi ameyasema hayo Julai 9,2024 jijini Dar es Salaam wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa viongozi wa vyama vya siasa nchini yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo juu ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa vyama hivyo, pamoja na namna ya kuhimili migogoro inayotokea baina ya wenyewe kwa wenyewe pasipo kufikishana ngazi za juu.



















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news