Magazeti leo Julai 13,2024

LINDI-Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Lindi, Zainab Lipalapi na baadhi ya viongozi na wanachama wengine 45 mkoani humo wamejiunga na chama cha ACT Wazalendo huku wakisisitiza hilo ndio jukwaa sahihi.
Wengine waliojiunga ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa wa Lindi, Said Mzee, Katibu wa Jimbo, Musa Rwegoshora, Mwenyekiti wa Wazee Jimbo, Bakari Likaku, Mweka Hazina wa Jimbo, Mohamed Mandoyo na Mwenyekiti BAVICHA jimbo, Doa Omari.Rwegoshora akizungumza kwa niaba ya wenzake amesema, ni wajibu wa wanalindi kuwa na jukwaa moja la upinzani na kwamba jukwaa sahihi ni ACT Wazalendo.











Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news