DAR-Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewataka wateja wake Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani kufanya maboresho ya mfumo wa LUKU unaotarajiwa kuanza Julai 22, 2024 ikiwa na lengo na kuongeza ufanisi na usalama zaidi.
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma TANESCO, Bi. Irene Gowelle ameyasema hayo Julai 15,2024 wakati akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo