DAR-Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ratiba ya treni za Reli ya Kisasa (SGR) ambapo itatoka Dar es Salaam saa 12:00 asubuhi na itatoka Dodoma saa 11:30 asubuhi, wakati treni ya kawaida itatoka Dar saa 11:30 jioni na Dodoma saa 12:55 jioni. Ratiba kamili ipo chini.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo