DAR-Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata dada wa kazi aliyefahamika kwa jina la Clemensia Mirembe (19) aliyekuwa anatafutwa kwa kosa la kumchinja mtoto wa Mwajiri wake.

Tukio hilo lilitokea Julai 17, 2024 ambapo dada huyo wa kazi alimjeruhi kwa kitu chenye ncha kali maeneo ya shingoni mtoto Malick Hashim (6) anayeishi eneo la Goba Kinzudi, Kinondoni ambapo baada
ya tukio mtuhumiwa alikimbia.

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo