Magazeti leo Julai 25,2024

NEW DELHI-Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, tarehe 24 Julai, 2024 amehitimisha ziara yake ya kikazi nchini India kwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Droupadi Murmu Ikulu Jijini New Delhi.
Katika mazungumzo yao, Dkt. Tulia amewasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuishukuru na kuipongeza Serikali ya India kwa kuendeleza ushirikiano wa kiuchumi na kijamii baina ya nchi hizo mbili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news