DAR-Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, Mheshimiwa Tundu Lissu amesema, nia ya kugombea urais mwaka 2025 iko pale pale.
Lissu ameyasema hayo Julai 26,2024 alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea nchini Ubelgiji.Soma zaidi hapa》》》
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
Ni haki ya Kikatiba kwa Mwananchi na Raia Mwema yoyote kuwania Urais wa Nchi yetu lakini ni vyema kujipima kama Uwezo huo upo. Mtu ambaye hajawahi kuwa Karani au Afisa tawala kwenye hata Wilaya anawezaje kuwa Rais, Mkuu wa Nchi na Kiongozi Mkuu wa Serikali kwenye Muhimili unoongoza Utawala?
ReplyDeleteBora kwanza ashauriane na Marais, Mawaziri na Mabalozi wastaafu wamshauri namna ya kujiandaa kwenye nafasi ya hadhi ya Urais.
Nimejumuisha Mabalozi wastaafu kwenye Washauri kwa sababu Mabalozi tunafundishwa mbinu za kuchunguza Uwezo wa Viongozi wa nchi tunakotumwa kuwakilisha nchi yetu. Tunaleta taarifa nyumbani kuhusu Uwezo au Udhaifu wa Viongozi ili kusaidia katika kuendeleza mahusiano mema.
Kama Tundu Lissu anatamani awe Rais basi aanze kujenga uhusiano na Mabalozi wa Nje waliopo Tanzania na atake Ushauri wao. Nitashangaa ikiwa kutakuwa na Balozi atomwambia kama atakuwa Rais mzuri