Magazeti leo Julai 30,2024

PARIS-Tanzania imeanza vyema mchezo wake wa kwanza katika mashindano ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya joto ya Paris 2024 baada ya mchezaji wake wa Judo, Andrew Thomas Mlugu (Uzito wa -73kg) kumtoa kwa Ippon (KO ya Judo) mpinzani wake William Tai Tin, kutoka nchini Samoa.










Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news