ARUSHA-Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Mhe. Balozi Maimuna Kibenga Tarishi ametoa wito kwa watumishi wa taasisi hiyo kufanya kazi kwa ushirikiano na umakini kwa kuzingatia dira na dhamira ya kuanzishwa kwake ili kwa pamoja kutumia fursa zilizopo katika kutatua changamoto mbalimbali.




Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo