DAR-Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuanzia leo Julai 7, 2024 makada wapya wa chama hicho, Upendo Peneza na Mchungaji Peter Msigwa wataanza kuonekana katika majukwaa ya CCM kueleza sababu ya kuhama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na wana CCM kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee Makalla ambaye ni mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam amesema, kupitia majukwaa mbalimbali, Mchungaji Msigwa na Peneza watakwenda kuwaeleza ukweli Watanzania.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
HELA ZETU ZA NCHI WATU WANACHEZEA KWELI, WANASIASA WANATUFANYA SISI MBUMBUMBU, TUNATAKA MAENDELEO NA SIO PROPAGANDA ZA SIASA KUHAMAHAMA VYAMA NI MBINU YA KUPUMBAZA WANACHI WASIHOJI MAMBO YA MUHIMU. TAARIFA YA CAG INAONESHA FEDHA ZIMEFUJWA VYA KUTOSHA ILA VIONGIZI WA SERIKALI WAPO KIMYA KUHUSU HILO, HIZO NI FEDHA ZETU WANANCHI, ONENI AIBU NINYI WANASIASA NA WAPAMBE WENU. MUNGU ATAWAADHIBU SIKU SI NYINGI KWA MNAYOFANYIA WANYONGE WA NCHI HII
ReplyDelete