LUANDA-Mbunge wa Korogwe Mjini kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Alfred Kimea amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Biashara, Viwanda na Uwekezaji ya Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF).
Mbunge huyo amechaguliwa kupitia uchaguzi ulifanyika wakati wa Mkutano wa 55 wa SADC-PF jijini Luanda, Angola.Dkt. Kimea atashika nafasi hii kuanzia mwaka huu 2024 hadi 2026.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo