Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) yakusanya shilingi bilioni 718.8 zaidi ya lengo

ZANZIBAR-Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 718.8 katika kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 ikiwa ni ufanisi wa makusanyo kwa asilimia 106.39 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 675.601.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Julai Mosi,2024 na Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) kama inavyoonekana hapa chini;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news