Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) yaendelea kutoa elimu, huduma Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam

DAR-Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) ni miongoni mwa taasisi za umma kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambazo zinashiriki katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Sabasaba vilivyopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news