Mheshimiwa Kapinga ashiriki harambee ya ujenzi wa Kanisa

RUVUMA-Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Julai 21, 2024 ameshiriki katika harambee ya ujenzi wa Kanisa Katoliki Kigango cha Kingole Wilaya ya Mbinga Vijijini.
Katika harambee hiyo, Mhe. Kapinga amewaasa waumini kuendelea kumcha Mwenyezi Mungu kwa sala.
Aidha, amewaasa wananchi kufanya kazi kwa bidii kwani kila mmoja ana nafasi yake katika ujenzi wa uchumi wa Taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news