Mheshimiwa Sillo ashiriki Mbio za Mwenge wa Uhuru wilayani Babati

MANYARA-Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo ameshiriki Mbio za Mwenge wa Uhuru.
Mbio hizo ambazo zinaongozwa na Kiongozi wa Kitaifa Godfrey Mnzava, zimeanza leo Julai 15, 2024 ambapo utakagua miradi mbalimbali ya Maendeleo.
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2024 zimebebwa na Kauli Mbiu isemayo;-Tunza Mazingira na Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ujenzi wa Taifa endelevu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news