Naibu Katibu Mkuu Omolo atembelea banda la BoT maonesho ya Sabasaba

DAR-Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, ametembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Katika ziara hiyo, Bi. Omolo amekutana na Gavana wa BoT, Bw. Emmanuel Tutuba, na kupata fursa ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu elimu inayotolewa kwa wananchi katika banda hilo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news