DAR-Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya ametembelea banda ya Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

Naibu Katibu Mkuu alitembelea banda la PPAA hivi karibuni alipofanya ziara ya kujionea Maonesho ya Sabasaba yaliyoanza 28 Juni - 13 Julai, 2024.
Tags
Habari
Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA)
Maonesho ya 48 ya Biashara ya Sabasaba
PPAA Tanzania