HomeAfya Ndoto ya Bima ya Afya kwa Wote yatimia KUNA usemi usemao Afya ni Mtaji na katika usemi huu unaweza ukauona ukweli wake moja kwa moja kwa kuwa, hakuna mwananchi yeyote anayeweza kushiriki shughuli za maendeleo ya kiuchumi na kifamilia na Taifa kwa ujumla bila kuwa na afya njema; Tags Afya Bima ya Afya kwa Wote Habari Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) NHIF Tanzania Facebook Twitter