NHC yaonesha wajumbe kutoka Korea Kusini eneo linalotarajiwa kuendelezwa Upanga Mashariki


Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), William Genya leo akiwaonesha eneo la Upanga Mashariki jijini Dar es Salaam ambalo linatarajiwa kuendelezwa wajumbe kutoka Shirika la linalojihusisha na utoaji fedha katika kuendeleza sekta ya ujenzi nchini Korea Kusini (K-FINCO), lililofika nchini kufuatia wito wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuchangamkia fursa za uwekezaji katika sekta ya nyumba. Ujumbe huo umeambatana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Korea Kusini,Mheshimiwa Togolani Mavura.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news