Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yapongezwa Songea


Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (wa tatu kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Elizabeth Nyembele (wa tatu kulia) baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika kwenye Mahakama hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea, Egidy Mkolwe akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi kwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyeketi mbele) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akisaini kitabu cha wageni alipofika Ofisini kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea, Egidy Mkolwe akimsikiliza Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Elizabeth Nyembele baada ya kikao cha pamoja kilichofanyika kwenye Mahakama hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Wakili wa Serikali Mfawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Egidy Mkolwe akizungumza wakati wa ziara ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) alipofika Ofisini kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Elizabeth Nyembele akizungumza wakati Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) alipofika Ofisini kwa Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha (hayupo pichani) wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akizungumza na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Joel Mbewa alipofika Ofisini kwake kujitambulisha wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (hayupo pichani) akimsikiliza Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Songea, Mhe. James Karayemaha akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Joel Mbewa (wa pili kulia) alipofika Ofisini kwake kujitambulisha wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Songea.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news