Rais Dkt.Samia aongoza Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa leo

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Taifa katika Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024 jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama akipokea viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024 jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news