DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wote wanaopata fursa ya kusoma Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kuitumia fursa hiyo kutoa mchango zaidi kwenye taasisi na nchi zao baada ya kuhitimu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mahafali ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa Mwaka 2023/2024, Kunduchi Jijini Dar es Salaam, leo tarehehe 27 Julia,2024.
Baadhi ya Waambata Jeshi pamoja na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa wakati wa kwenye Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.
Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 wakiwa kwenye Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku vyeti Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024 kwenye Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Kozi ya 12 kwa mwaka 2023/2024, viongozi pamoja na wageni mbalimbali katika Mahafali ya Chuo hicho Kunduchi jijini Dar es Salaam tarehe 27 Julai, 2024.