Rais Nyusi akagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na JWTZ

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.
Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa kwenye mapokezi Rasmi yaliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Julai, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news