Serikali itaendelea kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa rika zote-Naibu Wakili Mkuu


Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa maarufu SabaSaba yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Afisa Uhusiano Mwandamizi wa EWURA, Bi. Asiatu Msuya alipotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akimsikiliza Afisa Uhusiano Mwandamizi wa EWURA, Bi. Asiatu Msuya alipotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akipokea zawadi ya jarida na vipeperushi kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa EWURA, Bi. Asiatu Msuya baada ya kutembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitazama moja ya bidhaa inayopatikana ndani ya banda la Zanzibar alipotembelea banda hilo kwenye Maonesho ya SabaSaba ya jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa Mashauri na Udhibiti Ubora, ndugu Camilius Ruhinda (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa maonesho ya SabaSaba jijini Dar es Salaam.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali alipotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news